Wakuu za mida. Back to point nataka kununua external speakers za laptop yangu aina ya Hp nienjoy mziki na movies Nikiwa bedroom kwangu.
So aina gani ni poa na bei yake ni sh ngapi. Quality & durable speakers. Shukran
Kuna speaker za wireless na za wire.
Pia unaweza kununua subwoofer ndogo ya 2.1channel .
Hapo kwenye subwoofer unawezatafuta za kodtec au kama unataka vile vi spika vidogo vya USB power basi kuna za Intex, Cliptec, promate
Wakuu za mida. Back to point nataka kununua external speakers za laptop yangu aina ya Hp nienjoy mziki na movies Nikiwa bedroom kwangu.
So aina gani ni poa na bei yake ni sh ngapi. Quality & durable speakers. Shukran
Zipo nyingi za USB powered na bei ni kati ya 10,000-15,000 ila tatizo kubwa ni durability usitegemee kumaliza nazo mwaka bila kuharibika, tatizo ni maduka mengi ya computer accessories wanaleta mizigo ya bei chee na quality mbovu toka uchina.