External harddisks for sale

External harddisks for sale

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
267
jipatie External harddisks 2.5" za brand za SAMSUNG, LG, TRANSCEND ukubwa wa 500GB kwa Tsh 140,000/= tu.
 
weka namba za simu serius buyers tukupigie
 
ok u may cntct me through +255682007117
addition n new brand.
 
nataka transcend ya 1TB
kama unayo sema
 
sawa ukiipata ni PM tafadhali.
na bei yake plz
 
Maduka ya Dar izo External HD za 500GB zinauzwa kati ya 120,000 na 140,000. Kuna duka la vifaa vya computer sikumbuki jina ila lipo kulia kama unatoka mnara wa Askari ukielekea Jengo la TTCL pale izo EHD za 500GB wanauza 120,000. Mi nilinunua TRANSCEND ya 500GB.
 
maduka ya dar izo external hd za 500gb zinauzwa kati ya 120,000 na 140,000. Kuna duka la vifaa vya computer sikumbuki jina ila lipo kulia kama unatoka mnara wa askari ukielekea jengo la ttcl pale izo ehd za 500gb wanauza 120,000. Mi nilinunua transcend ya 500gb.

hilo duka linaitwa mitsumi.
Kweli huyu jamaa anauza ghali.... Hapa tulitegemea promotion.
 
punguza bei mkuu....

i need that thing
 
@broken heart, kwa hzo za 1TB Znaenda kwa 230,000/= tzsh n last price for thoz of 500GB ni 130,000/= tzsh.
 
ninazihitaji sana japo 500gb,ngoja nisubiri zishuke bei maana usawa haujakaa vizuri ingekuwa ya 50,000 ipo ningekuja hata kama ni 250gb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom