Guus
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,130
- 823
Wakuu habarini.
Nina "external hard drive" ambayo nimekuwa naitumia kwa muda mrefu sasa, na imehifadhi nyaraka zangu muhimu sana. Ajabu sasa hivi kila ninapoichomeka kwenye PC haifunguki, lakini kuna pop-up text inatokea kwamba niformat kwanza. Naomba kufahamishwa kama kuna namna yeyote naweza kuifungua na kuaccess nyaraka zangu?
Waasalam