Extension Joint !

Extention au Expansion.
Mleta mada nafikiri kachanganya expansion na extension.Iliyozungumziwa na inayojulikana ni 'expansion joint'.Pengine mleta mada anataka kutuletea dhana mpya kwamba kwenye majengo hiyo kitu inaitwa 'expansion joint' ila kwenye mwili wa binadamu ni 'extension joint'.Tumsubiri afafanue.
 
Mleta mada analeta mzaha na kejeli ugonjwa wa mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…