zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
Wadau kwawale wenye kuitaji exteno (T)TRANSCEND GB 500 Inauzwa bei laka moja 100,000 ila mahelewano yapo ipo dar es salaam simu 0712690760
65, 000 naipataa???
nashukuru nipesa nyingi tatizo haina masla nduguElfu 60 ipo
Ni nini hicho mkuu? Samahani mkuu naomba unieleweshe naweza kukihitaji mkuu,asante sana
Bei yako iko juu sana last week nimeinunua kwa 95,000 pale discount shop mpya.
Ni nini hicho mkuu? Samahani mkuu naomba unieleweshe naweza kukihitaji mkuu,asante sana