Ex's kama mzuri anarudiwa

Chakacha

Member
Joined
Aug 19, 2021
Posts
60
Reaction score
84
Jamani nimemmisi ex's wangu najaribu kumsahau ila haipiti week bila kuchungulia kwenye Account yake ya Instagram amepost nini, kila siku anazidi kupendeza kama vile nilikuwa namtesa, najaribu kuingia kwenye mahusiano mapya ila bado hisia za mapenzi nazifutia kwake.... Nifanyeje asee nisahau
 
Hapo ni kama ulitapika nyama choma alafu unataka kuyala tena hayo matapishi. .
 
Dear Ex...
 
Si kamrudie tena, au wewe ndo ulishushiwa kitu kizito......kama vipi endelea kumwangalia kwenye status upoze angalau machungu.
 
Nina tatizo la kushindwa kuacha yani napumzikaga tu ila ma ex wote ambao nna mawasiliano nao wanatoa game fresh tu
 
Sorry dear ex!!!
Mwenzako nipo salamaaa!
Eeeh salama.
Mambo ya mattress,
Nimeshasahau izo zama eeh izo zama
 


Mpigie nyeto
 
Nia Ya Moyoni Mwangu,
Wewe Ulijaza Miba,
Nikupe Pole Mwenzangu
Pengo Lako Limezibwa.
We Endelea,
Na Wafuga Kucha Akina
Sidika Na Hudah.
Hiriki Uzile.
Oohh Ila Tambua Utamaliza
Bucha Twazidiana
Ukubwa Nyama Ileile.
Sipendi Tuchukiane,
Japo Najua Mungu Amenilinda Na Mengi.
Na sisemi Turudiane,
Hilo Tambua Mie Nilipovunja,
Sijengi
Na Niliko Salama.
🎶🎶
 
Wewe jinsia gani
 
[emoji3] mara nyingi hua n big mistake kurudiana na Ex...fanya maamuzi sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…