mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Cjaelewa vizuri yan walikuw wapenz wakaachana afu muda mfupi kila mtu kaolewa na kuoa na mwingine ee?
ninawajua wote ni wapenzi tangu 2007 huko...
juzi all of a sudden jamaa ananitumia message kwamba anaoa...sikutaka kujua anamuoa nani maana mhusika namjua...good enough yule mtu wake sasa nae akanitumia message ya kuomba mchango wa sendoff...nikampa mahongera meeeengi shemej na kuwatakia kila la heri..lahaula!!
kuja kuujua ukweli kumbe kila mmoja anaoa na kuolewa na mwingine the same month.......!!waliachana hawana hata mwaka!!
haya mapenz ndo yamekua ya kuviziana namna hii jamani?
Nzuri tu maana hata waliokaa ychumba miaka 8 sikuhizi bado kwenye ndoa migogoro haiishi. kikubwa kilammoja awe ameridhika na maamuzi yake