mwalukindo
New Member
- May 12, 2013
- 4
- 11
Sio kwa vyuo vyote mkuu , nawajua watu wameingia udsm CS udom CS na hge,egm. Kinachoangaliwa zaidi ni hisabati.Ndio mkuu ili mtu ajiunge na na degree BCS au BIT lazima awe na principal pass mbili za masomo ya sayansi. amesha chaguliwa tayar??
Form VI (six) with at least two principal passes in Physics, Biology, Chemistry, Mathematics and Geography, with total points not below 2.5 obtained from the scoring A= 5, B+ = 4, B=3, C=2, D=1, E=0.5, F=0 for those who completed studies in year 2014 onwards. wa EGM inambeba Math na geog(nime copy sehemu)Sio kwa vyuo vyote mkuu , nawajua watu wameingia udsm CS udom CS na hge,egm. Kinachoangaliwa zaidi ni hisabati.
Kwenye Programming unajua nini?? programming sio kuandika code tu mkuu ni much more
Kwenye Programming unajua nini?? programming sio kuandika code tu mkuu ni much more
Sijui umenelewa vibaya lkn kuepusha shari tufanye ivi, nimekubali nilito ushauri mbaya, wewe ni expart sana kwenye hii mambo ulijifunza programming ulivyo maliza chuo umesolve matatizo mengi sana kwa code, mm bado kijana mdogo mdogo japo nilianza kujifunza PL nikiwa form 3 mpaka leo siwezi kubishana na ma-master , mtu akiwa na hata over 40 anaweza kuanza kujifunza programming akawa na mafanikio baadae (in fact mwezi wa nane kuna app ilitegenezwa na walimu canada inatwa Anura- inatumia AI ku-predict patient health status kwe kurecod self ya 30s walio itegeneza ni above 50yrs wanatumia TOI ). nadhani mpaka hapo tupo sawa sina haja ya kujua matatizo uliyo solve na sidhani kama unataka kujua mm nimefanya nini cha msingi na dhani tutakutana kwenye list ya ForbesAu ukiweza share any problems that you have solved using programming? Ukishamaliza then I'll share mine tuone if your statement is really valid
Siweza kubishana na mtu unaweza kuta tunapoteza mada wetu, Hua nakubali kushwidwa ili tuendelee na mambo mengine ya msingi. 9 law of power "Win through your Actions, Never through Argument" ndo maana nimemuambia tutakutana kwenye list yaforbesUmeandika mgazeti mreefu kuficha aibu uliopata.
We kubali tu ushauri uliotoa wa KIBOYA.
Kwamba Software development ni ngumu kuliko Afya??? 😂 🙄 🙄😂🙄
Mimi nimeanza kukomaa na coding kuanzia 2017 mwishon, sasa hivi niko nduki balaa.
Sijui umenelewa vibaya lkn kuepusha shari tufanye ivi, nimekubali nilito ushauri mbaya, wewe ni expart sana kwenye hii mambo ulijifunza programming ulivyo maliza chuo umesolve matatizo mengi sana kwa code, mm bado kijana mdogo mdogo japo nilianza kujifunza PL nikiwa form 3 mpaka leo siwezi kubishana na ma-master , mtu akiwa na hata over 40 anaweza kuanza kujifunza programming akawa na mafanikio baadae (in fact mwezi wa nane kuna app ilitegenezwa na walimu canada inatwa Anura- inatumia AI ku-predict patient health status kwe kurecod self ya 30s walio itegeneza ni above 50yrs wanatumia TOI ). nadhani mpaka hapo tupo sawa sina haja ya kujua matatizo uliyo solve na sidhani kama unataka kujua mm nimefanya nini cha msingi na dhani tutakutana kwenye list ya Forbes
and why software engineers ?? many are in this field but are not Engineers though
OK sawabro kapanick.. A person with a right mind wouldn't have spent all that time justifying himself and being sarcastic. Poa expart (it's actually EXPERT) wa Form 3. Good day to you
nikwel ndio maana na mimi nilihoji PCB software kachaguliwa chuo gani?Sio kwa vyuo vyote mkuu , nawajua watu wameingia udsm CS udom CS na hge,egm. Kinachoangaliwa zaidi ni hisabati.
Hongera mtoa maada kwa thread nzuri, binafsi naamini yeyote anaweza jifunza programming kikubwa ni kuwa na passion tu
Kwanza kabsa kabsa naushauri tafuta lugha Moja usome na kuilewa vzr sana hapa nashauri sana anza na C language, kwann nakishauri uanze na C, kwa sababu asilimia kubwa ya language maarufu unazozijua au kuzitaman zipo kwenye mfumo wa c type language au zimeandikwa kwa C language hivyobasi kuilewa vzr c itakupa foundation nzuri ya kuweza kujifunza lugha nyingine kama python, java,php na nyinginezo
Kuwa na msingi mzuri wa lugha Moja vzr ni sawa na kuwa na 60% ya kujinza language yeyote hapa na recommend sana c language. Hivyo utakuwa na 40% ya kujifunza language nyingine.
Kitu kingine kabla ujajifunza language yeyote ni vzr ukajifunza historia yake ambapo itakueleza language husika ilitengeneza kwa madhumuni gani. Ikumbukwe kila language ina strength na weakness zake hivyo hakuna language bora kuliko nyingine ila tu inategemea na matumizi yako na uwezo wako wa kuweza kucheza nayo
Baada ya kujifunza C language nini kifuate
Hapa sasa inategemea na wewe inataka kutengeza nini kama web application basi kuna machaguo mengi tu mfano php, python, java, Ruby, c# na nyingine nyingi tu. Kama desktop app kuna java, c#, vb, python japo haipo vzr sana kwenye desktop na nyinginezo na kama ni mobile app kuna java, JavaScript, objective c for iOS na nyinginezo. Kwa upande wa automatation embedded systems na security basi python anafanya vzr sana. Igawaje c language pia anafanya vzr kwenye embedded systems
Nashauri utumie framework ili uweze kusave muda na nguvu zako kama unataka kufanya project yeyote kwan duaniani kwa sasa ndicho kinachofanyika
Oooh nisikuchoshe sana zifuatazo ni baadhi ya framework na languages zake
1.Web based framework
Php
Laravel
Codeigniter
Java
Spring
Ruby
Ruby on Rails
2. Embedded systems
Arduino (c, python nk)
Raspberry pi (c, python nk)
3. Mobile app
React native ( JavaScript)
Nikipata muda nitaendelea ndg zangu.
Nipo tayar kusahihishwa
PCB kachukuliwa software engineering? , naomba kujua chuo gani mkuu
Ivi kuna nn cha kushangaza mtu wa PCB kuchaguliwa cs?watu wanachaguliwa mpk hge na egm kombi ambazo ni arts provided that wana kozi za sayansi olevel na wamefaulu math both O na a level ,kwa PCB what's the big deal?
Basi ww ndo huwa unakaa kwenye panel ya kuchagua watu .ww unaonyesha ushahidi wa maandishi mm nazungumzia watu ambao wamehitimu vyuo hivo!
Endelea tu mkuu, Unaweza kuchangia kwangu mda ndo umekua tatizo kuendeleza threadHuu uzi nimeupenda...ukifika kwenye Java ntakuwa na chakuchangia mimi ni expert wa mobile apps based on java and xml as shaping languah