Explained: Programming Languages For Software Engineers

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
711
Reaction score
1,508
Hellow bosess, Baada ya kupata mda kidogo nimeona sio mbaya ku share matumizi mbalimbali ya computer languages na namna nani unaweza kuzutumia kuna tons za computer language mm nita share zile ninazotumia au nilizo kua natumia na kile nacho kijua kuhusu language husika

mwisho nita toa overview ipi language nzuri kwa anaetaka kujifunza programming kama anaetaka kijiajiri na anayetaka kuajiriwa kwenye fild ya Computer Enginers. na pia ipi njia rahisi ya kujifunza programming

===================================================
PHP

PHP hii ni server side scripting language inatumika kulink “user interface” kwenye webpage na server. Server in mahali ambapo data zako za kwenye website zimeifadhiwa. Ni moja kati ya server side “access database data” na kuzileta kwenye website kwe website mojakwa moja.

Ni moja ya language inayopendwa na website developers wengi duniani kwani ni rahisi na pia ina uwezo mkubwa wa interact na website yako

EXTENSION

PHP in inatumia extension tofauti tofauti kwenye files zake

"index.php", ---- “recommended”

"index.phtml".

DATABASE

Database “Itaelezea mwisho” PHP ina support Database zifuatazo

1.MySQL - Tumia XAMP --- “recommended”

2. PostgreSQL – nitofauti sana na XAMP kama unaanza tumia Hiyo ya kwanza.



IDE/TEXT EDITOR

Text editor au IDE ni sehemu au mfumo unaoweza kuandika code zako(Nitaeleza tofauti mwisho). Kwa PHP IDE na Text Editor unaweza changua moja kati ya izi

  • PHPStorm - Hii ni IDE ni ya kulipia ipo vizuri sana ($199/y)
  • Sublime Text – Hii ni text editor kama huna hela ya kulipia PHPstorm tumia hii
  • Atom – Ipo vizuri sana kwenye PHP free -- “recommended”
USES

Kama hapo hawali matumizi hahii language ni hasa kwenye web development lakini inauwezo wa kufanya yafuatayo

1. inatumikaku tegeneza dynamic website “full website”

2. Inaonganisha website na web server

3. inatumika sana kama back-end language (kuonganisha database)

4.Pia inatumika ku Encrypt Data

DEMAND

Sijajua kwe mbeleni lakini kwa Africa PHP ni chaguo namba moja kwe wed developer wengi hapa africa tofauti na mataifa ya ulaya. Kama unampango wa kuajiriwa kama web developer kwa africe PHP inakufaa sana,

Mimi mwenye PHP nimeitumia kutengeneza website yangu moja tu, a mean moja nimesha achan nayo

HARD or ESER

PHP
ni moja la language rahisi sana kwa mtu wa kawaida, unaweza kijifunza kwa mda mfupi na ukaweza kuwaka online website yako

FRAMEWORK

Framework ni kama body ya gari . Kwenye PHP framework itatoa structure ya nmna unavyo weza kutageneza wedsite yako, zipo nyingi

1. Laravel – hii ni moja ya framework maarufu kwa ajili ya php. Kama una mpango wa kutumia PHP kwenye web project/website yako tumia hii framework

HELLO WORD CODE

PHP:
<?php


            echo”Hello Cybergates, Wellcome To The World”;


?>
=====


RUBY



Ruby nyumbani kwangu kabisa baada ya kuachana na PHP natumia ruby kwenye website zungi karibia zote nazo code, Ruby ni nini hii nayo ni back end language kama ilivyo PHP inatumika

kuonganisha Front end code na back side/ server side. Ku-Simplify unaweza kusema ruby inaonganisha server na web App ina saidia ku acess data kupitia database na server.



EXTENSION

Ruby
inatumia Extension tofauti kulingana na matumizi ya file husika common ni

1. index.rb

2. index.html.erb

DATABASE

Ruby ina support database zifuatazo kwenye framework yake ya Ruby on Rails

1. MySQL

2.
PostgreSQL

3.
SQLite



IDE/TEXT EDITOR


1. Ruby mine

2. komodo

3.subline text

4.atom



USES


1.ruby ni common kwa backend web development



DEMAND

Ruby haina demand sana kwenye market ya kaafrica Africa, lkn ni moja la language inayotimika sana ku maintain web applications. Kwa software engineer wengi tunaojua language tofauti hii ni rahisi kwetu kuitumia. Kama ww beginner usitumie ruby kwa mara ya kwanza ku develop website yako . pamoja na hayo pia host wa ruby sio rahisi kupatikana na piani ghali kidogo ku host website ya ruby



HARD or ESER

ruby sio rahisi ki ivyo kama huna background ya c au java programming



FRAMEWORK

hapa kwenye framework mimi natumia ruby on rails kama web framework ku maintain website

HELLO WORD CODE

Ruby:
puts ‘Hello Cybergates, Wellcome To The World’



NEXT

>>
JAVA / JAVASCRIPT /C / C++ / C# / PYTHON / SWIFT <<
 
 
weka hizo website zako tuzione wanaojifunza wajifunze kupitia real projects.
 
Aiseeee
VB na C ndio pekee nilikuwa nazipenda.
Python nikajaribu hata sikufika mbali
 
Mkuu kuna Mdogo wangu anaingia kwenye hii field ya software engineering lakini hana ujuzi wowote wa kompyuta , naomba kujua changamoto atakazo kutana nazo na njia za kuzikabiri

Amesoma nn advance??
 
Mkuu kuna Mdogo wangu anaingia kwenye hii field ya software engineering lakini hana ujuzi wowote wa kompyuta , naomba kujua changamoto atakazo kutana nazo na njia za kuzikabiri
Nisimkatishe Tamaa.... ila hata kama kuwasha kompyuta hajui..... ajiandae kisaikolojia
 
Mkuu tuendelee nahitaji kujua hii kitu na kama una darasa sehemu basi sio mbaya nikajua. Niko dsm
 
Nisimkatishe Tamaa.... ila hata kama kuwasha kompyuta hajui..... ajiandae kisaikolojia

Maswala ya awali kama kuwasha, kutumia keyboard anajua , sema hajawai kutumia kompyuta ktk maswala ya kujifunza
 
good thread.
mimi napenda kujua upande wa Android and ios apps zinabase kwenye language zipi.
 
and why software engineers ?? many are in this field but are not Engineers though
 
Kijana amesoma PCB ,kompyuta hutumia kuangalia movie na gaming.
Ushauri wako mkuu
Dha ngumu kweli mkuu kwa maana Bachelor of Computer Science core subject zao sio mchezo
hawa wana base sana kwenye computer software, na watu wa Bachelor of Information Technology hawa wana base kidogo kwenye software na hardware

kama kweli mnampenda mpelekeni akasome mambo ya afya computer sio rahisi kihiyo, Mimi nilianza kutumia computer kujifunza programming nikiwa form 3
 
Hii ni ruaha Catholic university_iringa, hapa computer science pamoja na software eng,inaitaji principal pass mbili za masomo ya sayansi
Ndio mkuu ili mtu ajiunge na na degree BCS au BIT lazima awe na principal pass mbili za masomo ya sayansi. amesha chaguliwa tayar??
 
Why giving him such advice? Kuna watu wanajifunza programming wakiwa na miaka 40 huko na kuendelea and end up having a successful career in that field. Mimi nimeanza kujifunza code baada ya chuo na I'm doing great as well na ajira juu. Dogo kama ana passion ya kujifunza atatoboa tu. It doesn't matter kama amechelewa kuanza or not. Ni hayo tu
 
Kwenye Programming unajua nini?? programming sio kuandika code tu mkuu ni much more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…