Experience ya jela/mahabusu

wewe hukuwa jela ulikuwa hotelini sega dansi nikiboko kwa dar. kuna jamaa wa kila aina siku ni kaona jamaa ana tembeza jeans kama yuko uraini.aji ilikuwa tabu yalipo kuja yakaitwa maji ya shekhe ponda.
 
Nimewala wafungwa wa segerea pale.hakika nilitumia uwanaume Wangu ipasavyo
Nb:nilitoka kwa msamaha wa rais

Mkuu nina hakika huijui jela kabisa, idea yako juu ya ilo jengo bila shaka ni ya stori za kijiweni na movie tu huna lolote ilijualo magereza za bongo
 
Kuna jamaa hapa amejisifia upumbavu
 

KEKO sio jela ni HOSTEL.. njoo huku GUANTANAMO BAY...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…