Experience ya jela/mahabusu

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
659
Heshima kwenu....kwa yoyote aliewah kukaa jela au hata mahabusu emu tushare experience hapa kwa kweli.kumbuka kwend jela sio lazima uwe umefanya kosa kwel unawez kukamatwa tuu hata kwa kuzingiziwa.

By the way yangu mimi ni ya keko hapo nilikaa kidogo lakini nilichokiona wafungwa wanasaidiana sana haswa kimawazo..Na pia usijifanye mbabe kule utakuwa fala maana ukiwa mgeni halafu ukileta ubabe watu watakuundia tume.

Nakumbuka kusoma gazeti hata kama ni la mwaka jana ila kuna watu ni jipya yani kwa Keko hakuna shida ya maji nadhani ni VIP prison kwa bongo maeneo ni masafi.

Kingine kupiga punyeto sio jambo la aibu yaani unaingia bafuni watu wanapiga puchu wakiwa wamejipanga ha ha ha kuna mahabusu awali chakula cha jela ni vi parcels tuu daily.

Usiulize nilikuwa na msala gani Ila nilikuwa mahabusu tuu....kingine kulala mapem sana Na usiku nyapala anapiga makofi ili ubadilishe upande.ha ha ha...kuna mambo uwez amin lakin kule kupata sigara ni kazi Kama Madini.mtu anavuta fegi Moshi anapulizia juu ili wengine wasivute ule Moshi...pia kuna watu Wana misala awajui lini atatoka.by the way nilingia Na vijitabu vyangu vya kusomasoma lakin haikufua dafu uwez kupata uwingiz siku za mwanzoni....Jamn jela mbay sana.omba mungu usiende...siku niliyokuja kuambiwa narud home dah niliona Kama ndoto mana tayar nilizoea maisha ya mule..... forget about ishu ya kuwekewa vimemo katika msosi ha ha ha......naishia hapo.
 
Nimewala wafungwa wa segerea pale.hakika nilitumia uwanaume Wangu ipasavyo
Nb:nilitoka kwa msamaha wa rais
 
Naskia kuna watu wazito labda zamn mana juzi rais alilizungumzia hilo
 
Kwa hiyari au ulikuwa unabaka hayo madume menzio?
Mkuu ukiona jela mtu analiwa ujue ametaka mwenyewe kwani kuna restrictions sana.kwanza ukishitakiwa Na mwenzio kua unatak kumlawiti mzee utapelekwa gareji.na ukirud utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…