ngoja nikupe mfano,
kwenye biashara.. kwenye biashara "unafanya kitu kinacholipa, sio unachokipenda wewe" maana unachokipenda kinaweza kuwa hakilipi.
mm binafsi nimesomea taaluma "A" na ndio iliyokua passion yangu.. yaan niliipenda sana toka mda mrefu, na nilianza kuifanya... lakini baadaye nikaona nachelewa sana kufikia malengo yangu..
nikaangalia fursa nikahamia kwenye taaluma nyingine, nikaachana na pasaion yangu.
mama mmoja alikua na kazi anaipenda na kaifanya kwa muda mrefu na alikua anaifanya kwa ubora sana kwa sababu anaipenda, ila haikuwahi kumlipa hadi anaiacha/staafu, amebaki tu analalamika
hiki kitu nilijifunza kwa wafanyabiashara.