Expect the following things when you start to follow your passion

Hili wala sio kweli hata kidogo.. ni lizuri tu kwenye theory ila sio la kulifuata..

kufuata passion yako haiku-guarantee kufanikiwa kwenye eneo lolote, bali labda kama unapenda kujiridhisha au kukufurahisha
 
Basi umeridhika kustuck kwenye job au relationships au maisha ambayo huyataki.
 
imawezekana haujanielewa au haujaelewa vizuri kitu unachokisema..

ila mimi nachosema ni hiki, hauwezi au una asilimia ndogo sana za kufanikiwa ikiwa utaongozwa na passion (Kufuata Passion yako)

Amini usiamini mkuu.
 
Thibitisha, mimi siamini.
 
Thibitisha, mimi siamini.
ngoja nikupe mfano,
kwenye biashara.. kwenye biashara "unafanya kitu kinacholipa, sio unachokipenda wewe" maana unachokipenda kinaweza kuwa hakilipi.

mm binafsi nimesomea taaluma "A" na ndio iliyokua passion yangu.. yaan niliipenda sana toka mda mrefu, na nilianza kuifanya... lakini baadaye nikaona nachelewa sana kufikia malengo yangu..
nikaangalia fursa nikahamia kwenye taaluma nyingine, nikaachana na pasaion yangu.

mama mmoja alikua na kazi anaipenda na kaifanya kwa muda mrefu na alikua anaifanya kwa ubora sana kwa sababu anaipenda, ila haikuwahi kumlipa hadi anaiacha/staafu, amebaki tu analalamika

hiki kitu nilijifunza kwa wafanyabiashara.
 
Usijifunze kwa walioshindwa, haina maana kila anayefuata passion hatatoboa.
 
Once you decide there's no turning back just keep going. In the life you can't escape obstacles you need to face them so they can make your body and mind strong enough to get what you want. What doesn't kill me makes me stronger

What doesn’t kill you, makes you a bit more cooler
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom