Binafsi nilishakua mteja wa NMB nikaachana nao, nikaja CRDB niliposettle hadi leo,nikaionja Stanbic sikukaa, baadae nikaja bank ya posta nikaona hovyo. About 3 months ago nikaingia rasmi Exim Bank.
Hii bank inashida sana, inahita uwe na kiwango cha juu sana cha uvumilivu ili uwe mteja.
1. Inachukua zaidi ya siku 1 kupata akaunti namba.
Nilifungua akaunti nikadeposit kiwango 'kikubwa kidogo' cha ajabu akaunti kuipata ikabibidi nisubiri siku mbili ndio nikaipata.
2. Kujiunga Exim Mobile nayo ni kimbembe.
Kujiunga Exim mobile ni suala la kusubiri masaa 72.
3. ATM Cards.
Niliipata ATM card baada ya week 3, nilipoipata nikaambiwa nisubiri 24 hours ndio ifanye kazi. Masaa 24 yaliisha, mida ya saa 7 usiku niko bar hela imekata, naingia naambiwa card is invalid. Exim mobile tizi. Kesho yake naenda branch naambiwa subiri iko kwenye Queue ya Activation.
Basi nikaomba Internet mobile.
Nikajaza form nikaambiwa nisubiri masaa 24, yalipofika naambiwa email haiko registered na account. Kuulizia naambiwa niende branch. Branch wanadai siku nafungua account, ofisa aliyenihudia alisahau kuregister email yako. Hivyo niandike request letter kwq manager..
Dunia ya leo customer anazunguka weeks kupata huduma!!!!
Nilichogundua.
Hi bank kila kitu weki centralize.
Kila kitu kinafanyika headquarter. Dunia ya leo huu ni mfumo wa kizamani sana. Zipeni branch uwezo wa kufanya mengi.
Unless mtapotea. Waulizeni ttcl walikufaje. Wewe unaandika barua kwa manager kuomba bundle[emoji23]
Bora tu crdb na Barclays
HSBC ya Hong Kong raha sana.Hayo mabenki yenu bana. Mimi account zangu ziko Zurich UBS na Credit Suisse na HSBC kwa bibi. Yani sitaki bughdha kabisa na hela zangu.
Inamaana Baclays ubadilishaji wao kwa fedha za kigeni ni chini sana kumbe,Ivi nikitaka kununua dollar sasaivi ni kiasi ganiUkienda kubadili fedha ya kigeni baclays na huna bank account nao unatakiwa kulipia Tshs 5000 na hiyo ni nje ya exchange rate ya siku hiyo ambayo kwao siku zote ipo chini kuliko Exim
Ipo vizuri?Karibuni Dtb bank
Kweli wapo okay sana.Equity bank ndiyo bank ya ukweli,,,.Nilitaka kufungua account mwezi uliopita wakaniambia card ntapata baada ya wiki 2. Nikaenda zangu equity kufungua account ya pili na nikapewa visa card siku hiyo hiyo.Hata ukipoteza card unaenda bank na police report unapewa card on the same day.
Sasa hawa kila kitu inabidi ufike branch. Leo asubuhi ndio nimewezeshwa internet banking baada ya week 3 kufungua AkauntiHSBC ya Hong Kong raha sana.
Unafungua account kwa phone call na a simple email unatuma documents zako. Ndani ya siku 3 account yako ipo hewani.
Hata FNB Tanzania wapo vizuri, ndani ya masaa mawili kila kitu kipo hewani kuanzia account, ATM card, internet banking na mobile banking.
Wanatatua matatizo yako kwa kuongea na simu tu.
Huwa napenda kutumia benki zenye asili ya watu waliobobea kwenye banking industry.Sasa hawa kila kitu inabidi ufike branch. Leo asubuhi ndio nimewezeshwa internet banking baada ya week 3 kufungua Akaunti
Nlifungua account FNB miaka miwili ilopita, kila kitu nilipewa hapohapo bila shida. Ndani ya saa moja account yangu inafanya kazi.Sasa hawa kila kitu inabidi ufike branch. Leo asubuhi ndio nimewezeshwa internet banking baada ya week 3 kufungua Akaunti
Kampuni yetu tunahifadhi pesa huko na pia mimi salary yangu huwa inapitia huko.. Kiukweli so far sijawah kujutia kutumia hii bank.. Wako vizuri kwa mtazamo wanguIpo vizuri?
Binafsi napenda bank ata upatikanaji wa mikopo inakuwa rahisi kama wiki iwe wiki wakuambie kama unapata au unakosa, maana bank nyingine zinakuzungusha na kukupotezea muda halafu wanakuambia umekataliwa mkopo.