Naomba ushauri nini nifanye gari yangu nissan tiida wametiunga ule unga unaokaa kwenye exhaust muungurumo umekuwa mkubwa je ninaweza kuipata ingine hata ya kuagiza au hazipatikani au nifanyeje ushauri wenu mafundi View attachment 1762400
Ile catalytic converter kama wameitoa kupata nyingine wala si kazi..ni pesa yako tu...hiyo unaweza kuchukua hata ya IST mafundi wakachomelea kwa Gas welding...

Shukrani nawala nimepeleka kwa fundi kaweka hivyo vibati gari kama nimenunua leo iko sawa sisikii muungurumo tena lkn najipanga sasa nitafute ingine nzima kabisa