Sasa mnanunuaje magari wakati miundombinu bado hahahah I smell something fishy...
Sasa mnanunuaje magari wakati miundombinu bado hahahah I smell something fishy...
Ndio ile wanayozungumzia????Do you recall the painted (ONL BRT) roads.
Ndio ile wanayozungumzia????
Shida ya hizi basi ni inabidi watu wengi wasimame. Zimejaa hapa Europe. Ziko na very few seats na space kubwa ni ya kusimama. Huku distance yenye mtu anatravel huwa fupi so hakuna shida but Nai distance kutoka CBD hadi Adams Arcade au Pipeline au Donholm enyewe mtu hawezi simama it's too far. Afadhali hizi basi za saa hii sura mbaya zenye wame-squeeze viti pamoja lakini mtu anakaa chini akitravel.View attachment 1093262
NAMATA BRT buses.
Nairobi residents can now have a glimpse of how the buses for the Bus Rapid Transit system look like.
The Star has obtained a photo of one of the buses in South Africa where the vehicles are being shipped from.
According to Transport Cabinet Secretary James Macharia, the first batch of the buses is already in the country.
The buses are yellow and dark blue with the name NaMATA on the side. NaMATA stands for Nairobi Metropolitan Area Transport Authority.
Despite the importation of the buses, Nairobi still lacks the necessary infrastructure while the question of who will run the service remains unanswered.
"The first batch was 32 buses. What we are now trying to do is fast track the construction of stations and other supporting infrastructure so that as the buses come, we shall have proper infrastructure," he said.
Macharia said setting up of the infrastructure has not started yet.
"We are just contracting and it will be done very quickly… maybe one or two months to make sure we have proper support infrastructure," he said.
Macharia said about Sh 1.2 billion is needed to roll out infrastructure has since been allocated.
That is being petty Geza. Whether a bus has one door or twenty doors what does it matter? Grow up.One door buses? 😂
But si hizi walisema hakuna kusimamisha raiya? Considering traffic ya jiji time kuna mvua acha matatu zibebe long distances.Shida ya hizi basi ni inabidi watu wengi wasimame. Zimejaa hapa Europe. Ziko na very few seats na space kubwa ni ya kusimama. Huku distance yenye mtu anatravel huwa fupi so hakuna shida but Nai distance kutoka CBD hadi Adams Arcade au Pipeline au Donholm enyewe mtu hawezi simama it's too far. Afadhali hizi basi za saa hii sura mbaya zenye wame-squeeze viti pamoja lakini mtu anakaa chini akitravel.
Waliishamaliza hiyo kazi, walichora lines kwenye highway yao.Jengeni miundombinu buses mnanunua zikaozee store ama nn,ila sihua mnasema mnaelimu bora mbona mnaweweseka hovyo kama walevi wa gongo..
Failed state
It matters.....imagine seating at the back of that bus and want to get off....and it's fullThat is being petty Geza. Whether a bus has one door or twenty doors what does it matter? Grow up.
Hio ya mlango mmoja ni kafupi sio kama hilo la NamataView attachment 1093387Acha ushamba, pevuka!