Excavator Inauzwa

Kubwalijalo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
364
Reaction score
290
Wadau nauza Excavator HITACHI Zaxis 210 LCH. Lipo Mbeya wilaya ya CHUNYA Bei ni 130,000,000 maongezi yapo. Lipo vizuri na mashine yake haijawahi kufunguliwa.
Wasiliana nami kwa Namba zifuatazo:-
+255778353535 / +255689511212
 
Ebu fafanuwa kidogo mkuu, maana usije ukamuharibia tu mshkaji biashara kwa mtazamo wako hasi
Ahsante, bei za excavator zina range kulingana na tone inayobeba, kampuni na muda iliyofanya kazi, well kwa ukubwa huo kama haijwahi kugusa spanner angalau angesema 200-250m inge sound
 
Ahsante, bei za excavator zina range kulingana na tone inayobeba, kampuni na muda iliyofanya kazi, well kwa ukubwa huo kama haijwahi kugusa spanner angalau angesema 200-250m inge sound
Sawa mkuu, kwakuwa hoja haipigwi rungu.... Basi ebu ngoja tusubiri hoja nyingine kutoka kwa mleta mada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…