Usimpe mimba. Baki nayo mtasumbuana siku za mbele.Habari ndugu zangu wana JF.
Twende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni mfanyabiashara. Miaka ya nyuma kwnye harakart za maisha nilijikuta na mauhisiano na dada mmoja ambae yupo mkoa mwengn kikazi. Kiukwel nilikuw nae ila sikuwa nimempenda ki vileeee zaid ya mabususu yake matam na si mchoyo.
Nikahitaji kuingia kwnye ndoa kwa shinikizo la wazaz na mwanmk mwengn nilijarb kumuelez mwenzng hakunielew kbs. Kwann namuacha na kuwa na mwanmk mwngn nilijarb kumuelez ni hisia tu zimenipelekea kumuoa huyu bidada mzur na mpole.
Hakuwez kunielewa ila aliniomba jambo moja kbla ya mm kumuoa huyu mwngn nimpe ujauzito n mm kuendelea na maisha yangu hatokuja kunisumbua tena na mm kuendelea na maisha yng.
Je ni kwel hatokuja kunisumbua nikimpa mimba ex wng wakuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usimpe mimba.Baki nayo mtasumbuana siku za mbele.
HALAFU: Unapoandika ujitahidi kukamilisha sentensi zako.Kwa mfano, unapoandika maish yng au nilijarb unashindwa kueleweka.Sasa ole wako useme mimi mzee nafuatilia mambo madogomadogo.
Mtie mimba fasta...huyo kashakubali kuwa mke wa pili mzeyaHabari ndugu zangu wana JF.
Twende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana wa miaka 25 ni mfanyabiashara. Miaka ya nyuma kwnye harakart za maisha nilijikuta na mauhisiano na dada mmoja ambae yupo mkoa mwengn kikazi. Kiukwel nilikuw nae ila sikuwa nimempenda ki vileeee zaid ya mabususu yake matam na si mchoyo.
Nikahitaji kuingia kwnye ndoa kwa shinikizo la wazaz na mwanmk mwengn nilijarb kumuelez mwenzng hakunielew kbs. Kwann namuacha na kuwa na mwanmk mwngn nilijarb kumuelez ni hisia tu zimenipelekea kumuoa huyu bidada mzur na mpole.
Hakuwez kunielewa ila aliniomba jambo moja kbla ya mm kumuoa huyu mwngn nimpe ujauzito n mm kuendelea na maisha yangu hatokuja kunisumbua tena na mm kuendelea na maisha yng.
Je ni kwel hatokuja kunisumbua nikimpa mimba ex wng wakuu?
Ngoja waje kukupa muongozo[emoji23][emoji23]Habari ndugu zangu wana JF.

Unaingia kwenye ndoa na hiyo mentality? Ww bado hauko tayari.Habari ndugu zangu wana JF.