duh...huyo inabid utueleze mliachanaje..mligombana? au mliachana kistaarabu? kama mligombana achana nae kama kistaarabu na huna mtu mwingine mtungue tu...lakini kumbuka..." za kupewa, chanyanya na zako"
We ndo ulimwaga ndo maana. Angekuwa yeye ndo alikumwaga asingeona wivu. Usithubutu kumrudia anatafuta njia ya kukumwaga ili ajione mshindi. Mwachwaji huona uchungu sana!