R.I.P. Mzee Peter, poleni wanafamilia.
Huyu bwana baada ya kustaafu aliendelea kukaa kwenye nyumba ya serikali akitegemea wangemuuzia lakini haikuwa hivyo. Hivi kartibuni alitolewa kwa nguvu kwenye hiyo nyumba na kiasi kikubwa cha pesa waliyoita ni kodi ya miaka miwili ikakatwa kwenye mafao yake. Matokeo yake akapatwa na kiharusi na kulazwa hospitali hadi yakamkuta mauti.