Ex-Rwandan minister, Ambassador Jacques Bihozagara accused of spying dies in Burundi jail

Ex Spy

JF-Expert Member
Jan 15, 2007
222
1,826
Thu, Mar 31st, 2016

Ambassador Jacques Bihozagara, a former Rwandan envoy to Brussels has died. The diplomat is reported to have been assassinated in Burundi’s Mpimba prison where he was jailed.

His death has shocked many, with scores of people taking to social media to mouth their condolences. Conspiracy theorists rushed to point fingers to the cause of his death which will leave unanswered questions floating.

Rwanda’s envoy to Burundi ambassador Amandin Rugira said that the circumstances around Bihozagara’s death are not yet clear, however, trusted source said that the diplomat could have died of poison.

According to reports Bihozagara was arrested last year December and imprisoned at Mpimba prison over allegations of espionage.

Olivier Nduhungirehe, Rwanda’s ambassador in Belgium also twitted, “Saddened by assassination in a Burundian prison, of Amb Jacques #Bihozagara one of my predecessors in Belgium.”

Bihozagara served Rwanda as Rehabilitation and Social Integration minister and later as Youth, Sports and Culture minister, in addition to serving as an ambassador of Rwanda to France and Belgium. By the time of his arrest he had left politics and set himself to doing business in Burundi.

Relations between Rwanda and Burundi have been at the lowest levels, with Bujumbura accusing Kigali of supporting its opponents and serving as a base for a rebellion against Bujumbura.

The UN Human rights body said that continued human rights violations, and impunity for perpetrators, mean that many people in Burundi live in terror, according Zeid Ra’ad Al Hussein, United Nations High Commissioner for Human Rights.

Source: Ambassador Jacques Bihozagara dead, cause of his death remain unclear
 
150427110213_bujumbura_protests_640x360_getty_nocredit.jpg

Waziri wa zamani wa Rwanda Jacques Bihozagara amefariki katika gereza moja nchini Burundi miezi minne baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kufanya ujasusi.

Rwanda imesema marehemu Jacques alikuwa ameshikiliwa kinyume cha sheria.

Balozi wa Rwanda nchini Ubelgiji ameandika na kusema kifo cha Jacques ni "mauaji".

Wafungwa katika gereza alipokuwa ameshikiliwa wanasema alionekana akiwa katika hali nzuri na kwamba alifariki dakika chache baada ya kuchukuliwa kutoka gereza kupelekwa hospitali baada ya kuugua.

Umoja wa Mataifa umekuwa ukiishutumu Rwanda kwa kujaribu kuipindua serikali ya Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, madai ambayo Rwanda imekuwa ikiyakanusha.

Source: Waziri wa Rwanda afia gerezani Burundi - BBC Swahili
 
Ni Waziri wa zamani,
Sujui kama Kagame atakubali hii bila kulipiza kisasi.
 
Vyuma ya kweli au mikwala ya kobe kujitumbukiza gambani.
 
Sijaelewa hii ishu vizuri, nidadavulie mkuu
Waziri wa zamani wa Rwanda alidakwa Burundi akifanya ujasusi/ushushushu akawekwa selo, inavyoonekana warundi waliamua kumnyongea huko huko selo halafu wakasingizia amefariki kwa ugonjwa
 
Waziri wa zamani wa Rwanda alidakwa Burundi akifanya ujasusi/ushushushu akawekwa selo, inavyoonekana warundi waliamua kumnyongea huko huko selo halafu wakasingizia amefariki kwa ugonjwa
Asante Mkuu, nilifikiri Paul mwenyewe ndio kamfanyia umafia maana naye ni moto chini
 
Ajaribu aone cha moto. Warundi siku hizi ni chuma kikoli moto hata kagame anajua.
Kama ni moto Mbona wameishia kumtuhumu Kagame kutaka kuipindua Burundi na hawajafanya kitu,
Labda ambacho hukijui au unajifanya hujui, Burundi sio moja imegawanyika Jeshi la serikali ya Burundi unalozungumzia ndo lile lililoshindwa kuzuia mapinduzi ya Rais.
 
Kama lilishindwa kuzuia mapinduzi hebu tuambie mapinduzi yalizuiliwa na jeshi gani ? Kama wangekuwa hawajiamini wasingemuua x- waziri na paka kama ni mwanaume kweli ajibu mapigo. Iddi Amini alipoichokoza Tanzania nyerere alikimbilia kumchapa? Si aliitangazia dunia kwanza ndipo akafanya yake ? Siasa za kimataifa huzijui! Eti jeshi limegawanyika, tuambie limegawanyika vipi ? Ya sudani kusini unayajua ? Je, yapo pia Burundi?Endelea kujifariji eti jeshi limegawanyika!
 
Vyuma ya kweli au mikwala ya kobe kujitumbukiza gambani.
Kweli tena nakuambia. Kuna mengi yamejificha ila kagame na cndd-fdd walishachapana mwanzoni mwa mwaka 1995 na rpf walidundwa mno. Muulize mchambawima1 atakuambia.
 
Halafu Wakenya wanalia lia jamaa zao walipotaka kufanya udukuzi kwenye bandari ya Tanga

Hawakupigwa hata makofi ,wangewekwa ndani ingekuaje ?
 
Kama lilishindwa kuzuia mapinduzi hebu tuambie mapinduzi yalizuiliwa na jeshi gani ? Kama wangekuwa hawajiamini wasingemuua x- waziri na paka kama ni mwanaume kweli ajibu mapigo. Iddi Amini alipoichokoza Tanzania nyerere alikimbilia kumchapa? Si aliitangazia dunia kwanza ndipo akafanya yake ? Siasa za kimataifa huzijui! Eti jeshi limegawanyika, tuambie limegawanyika vipi ? Ya sudani kusini unayajua ? Je, yapo pia Burundi?Endelea kujifariji eti jeshi limegawanyika!
Sawa mkuu, it's non issue.
 
Back
Top Bottom