Ex kakutwa ni HIV Positive je PEP itamuokoa?

Habari wadau

Baada ya miaka 4 hajaonana na demu wake jamaa kakutana na Ex wake week moja imepita jamaa alimwandaa demu na kupiga denda kila kitu cha mahaba ila akakumbuka hana kondom ila anatembea na boksi la vipimio vya ukimwi

Basi akastop akamwambia demu wapime demu kakubali wapime wote hapo hapo, majibu demu ana ngoma na jamaa mzima.

sasa jamaa amechanganyikiwa sababu kala demu denda na demu kamnyonya sehemu za siri japo hakugonga

imepita week sasa tukio litokee je anaweza kutumia PEP akapona?
Mwambie asihangaike na PEP masaa 72 yameshapita .

Ila mkumbushe baada ya miezi mitatu kupima tena toka alivyopima .

Poleni sana ila UKIMWI ni gonjwa la kawaida sana aishi katika ushauri na nasaha apewazo ikiwa atajikuta tayari .
 
Mapepe yake ndio yatamfanya akonde asawajike,
Atulie hakuna cha ngoma wala nini ikiwezekana aende na huyo Ex hospital apime tena waweza kukuta vipimo vimezingua tu
 
Nimemaliza majuzi tu kuyatumia ,nikatest fresh,japonilitumia kinga ila hofu ilinitawala
 
Hivi namwanamke akikupigisha puchu kwa mkono wake unaweza pata ukimwi
Hapana sio rahisi....

Ila mna michezo ya ajabu sana nyie vijana.... punguzeni zinaa oeni mtulie mjenge familia na kuweni waaminifu kwa wenza wenu mtaepuka mengi.
 
Yaani ingekuta kukabwa koni na denda inaambukiza ukinwi nafiri asilimi 70 ya watu duniani wangeugua ukimwi

Kupata ukimwi siyo mchezo mchezo ,ndio maana huwa nasema Hadi mtu kapata ukimwi ujue kapambana na mbususa mno famasihala nn na ukimwi ,

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yaani ingekuta kukabwa koni na denda inaambukiza ukinwi nafiri asilimi 70 ya watu duniani wangeugua ukimwi

Kupata ukimwi siyo mchezo mchezo ,ndio maana huwa nasema Hadi mtu kapata ukimwi ujue kapambana na mbususa mno famasihala nn na ukimwi ,

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ulichokisema hapo ni VVU (Virusi vya Ukimwi)
Sio kila mwenye VVU ana UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini) na sio kila mwenye Ukimwi ana Vvu.
 
Mbona kama unazunguka saana mbuyu!? Kwani ukisema kuwa ni wewe! Utapungukiwa nini na uko na fake I'd humu!? It's you!
 
Wajuvu naweza kunywa pombe baada ya muda gani nikimaliza PEP?
Mimi nilikuwa nakunywa PEP kisha nakunywa bia mwezi mzima. Lile wenge la kulewa PEP nilishindwa kulivumilia, nikaona bora niwe nalewa nilichokizoea.
 
Back
Top Bottom