EX anataka kuwa mchepuko wangu

Upendo haugawanyiki lazima kuna unayempenda zaidi kati yao...(utaamua mwenyewe ni yupi)

Ila kama utaamua kulamba matapishi basi kuwa tayari kubeba gharama zitakazo ambatana na maamuzi yako.
 
Nimeamua. .... Nimeamua . .

Sitarudi .... Sitarudi.........
 

Huyo kama aliweza kukudhulumu kijinga na kwa jeuri hivyo, jua hana nia njema na wewe.

She is on a mission to destroy you.

Ukifanya ujinga wa kumruhusu kuwa hata mchepuko umekwisha. Kaa naye mbali sana huyo tena kata mawasiliano mara moja, ukitaka mchepuko tafuta mwingine ila siyo huyo.
 
Acha ujinga,ukushaoa unakuwaje tena hawara?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Una umri wa miaka mingapi?
 
Kwanini always mnatafuta michepuko tegemezi?
 
Punguza uzembe... Kama unampenda kwa nini hujamuoa...
 
🤔🤔🤔🤔 Tumia hata ¼ ya ubongo wako
 
Hapo hata hujijui unampenda Nani!poor wife
 
Kumbuka pia hata huyo mke wake nae alikua ni Ex wake.
Ni kweli niligombana na ex wangu tukaachana nikawa na mke wangu baadae nikamrudia ex wangu kwa kuwa nimezaa nae tulee mtoto kumbe mwenzangu ananiweka kwenye target anifanyie jambo kubwa la kuniumiza kwa kitendo hcho alichokiona kama nimemsaliti wakati tulikuwa tumeachana, baadae nikaachana nae baada ya kunidhurumu pesa na nikamrudia uyu mke wangu mana nilimuacha bila sababu yoyote.

Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…