Kwahili la kupandisha bei ya mafuta ya taa nadhani serikali ilikulupuka, nasema ilikulupuka kwa sababu sababu walizotuambia wanapandisha bei ya mafuta ya taa ni kutokana na uchakachuaji,
kama sababu ni uchakachuaji ni kweli serikali yetu imeshindwa kuwadhibiti wafanya biashara wa chache sana ambao tunaamini wapo dar na mikoa ya pwani, matokeo yake wanaamua kuwaadhibu watanzania wengi ambao hawana atia, ikowapi dhana ya msemo usemao serikali inamkono mrefu, je uo mkono mrefu wa serikali umeshindwa kuwabaini hawa wafanya biasha wachache??
Apa tunaomba serikali yetu wafikilie upya na waturejeshee bei ya zmani ya mafuta ya taa