mhh atacjui gazer gan na la lini cjui
Walitumia cm za mezani na sio hz za kawaida..we ulkuta no.ipi?hebu nijuze walitumia landline walivyokupigia cm au hizi number za kawaida coz nlikuta Missed call kwenye cm yangu then nkajaribu kupiga haipatikani na mm nliomba kaz uko pia ebu nitoe wasiwasi bidada.
Walitumia cm za mezani na sio hz za kawaida..we ulkuta no.ipi?
me nliombaga ile ya administrative cum......ilitokaga July km ckosei! Then hv juz juz tu waltoa nyingne nliappy ya receptionist...wewe je