INASHANGAZA SAANA KUONA EWURA (Energy Water Utlities Regulatory Authority) kuona kuwa ime ikomesha kampuni ya BP kwa kitendo chake cha kuamua kugomea serikali ombi lake la kupunguza gharama ya bizaa ya mafuta.
Lakini cha kushangaza ni EWURA kudai kuwa imeisamehe kampuni hiyo ya BP na kwamba hilo ni fundisho kwa makampuni mengine lakini wakati huo huo kampuni hiyo imeamua kuuza Hisa zake zote iliyo kuwa ina miriki kwenye kampuni hiyo kwa Tanzania na kubakisha hisa zinazo milikiwa na serikali.
Sasa kujidai kwa EWURA ni kujiondoa kwa kampuni ya BP kabisa kumiliki au kulipwa kwa fidia au kuomba msamaha kwa kampuni ya BP huku wakiaga Tanzania (Tetesi ina semekana BP imejiondoa kutokana na ubaba ishaji wa umeme na uwekezaji TZ)

nimatumaini mleta uzi umeelewa. kuwa hilo si tatizo la ewura. PB ilishaanza kuuza hisa zake siku nyingi.INASHANGAZA SAANA KUONA EWURA (Energy Water Utlities Regulatory Authority) kuona kuwa ime ikomesha kampuni ya BP kwa kitendo chake cha kuamua kugomea serikali ombi lake la kupunguza gharama ya bizaa ya mafuta.
Lakini cha kushangaza ni EWURA kudai kuwa imeisamehe kampuni hiyo ya BP na kwamba hilo ni fundisho kwa makampuni mengine lakini wakati huo huo kampuni hiyo imeamua kuuza Hisa zake zote iliyo kuwa ina miriki kwenye kampuni hiyo kwa Tanzania na kubakisha hisa zinazo milikiwa na serikali.
Sasa kujidai kwa EWURA ni kujiondoa kwa kampuni ya BP kabisa kumiliki au kulipwa kwa fidia au kuomba msamaha kwa kampuni ya BP huku wakiaga Tanzania (Tetesi ina semekana BP imejiondoa kutokana na ubaba ishaji wa umeme na uwekezaji TZ)
sawa kabisa na mwezi huu PUMA wamezungukia maghala yote yenye nembo ya BPAcha unafiki kaka, BP wameuza share zao za makampuni yake ya afrika kwa PUMA muda mrefu sana. Unachoona Tz ni logo za BP tu kwa kuwa PUMA bado hawaja brand kampuni yao.