Ewe mwanaJF uliye hapa Arusha,
Ewe mwanaJF uliye hapa kwenye jumba la starehe liitwalo BIG L",
Ewe mwanaJf unayekunywa kinywaji aina ya Sminorf ukichanganya na soda ya Tonic water.
Ewe mwanaJf uliyevaa koti la leather, jeusi na miwani ya kuvunga.
Nakuomba ujitambulishe kwangu, maana ninakuona uko bize na JF tokea ulipofika hapa.
Kwann hamtafuti wenyeji mkija Arusha?
Jitambulishe bana, mi niko hapa nyuma yako napata KONYAGI!
Watu wa A-town hatuogopani bana, acheni hizo!
Nakuckilizia.
kata hizo dibaji, nyanyuka nenda kamsalimie jitambulishe atakuelewa, mbona mimi tulikutana hivyohivyo mkuuEwe mwanaJF uliye hapa Arusha,
Ewe mwanaJF uliye hapa kwenye jumba la starehe liitwalo BIG L",
Ewe mwanaJf unayekunywa kinywaji aina ya Sminorf ukichanganya na soda ya Tonic water.
Ewe mwanaJf uliyevaa koti la leather, jeusi na miwani ya kuvunga.
Nakuomba ujitambulishe kwangu, maana ninakuona uko bize na JF tokea ulipofika hapa.
Kwann hamtafuti wenyeji mkija Arusha?
Jitambulishe bana, mi niko hapa nyuma yako napata KONYAGI!
Watu wa A-town hatuogopani bana, acheni hizo!
Nakuckilizia.
Kiranga
My whole context is about Wabongo, ndiyo maana hukuwa na sababu ya kushangaa! u know "we" meeen!
Dont talk about the Alien world, of which we r not acquainted to!... Its like talking abt the Pluto and its thangs!...huh! ...stop that buddy!!
Mkuu usitelemshe mikono hiyo, kamata bomba kana uko ndani ya mchuma wa dala dala.Ewe mwanaJF uliye hapa Arusha,