Mkuu hebu fanya jambo tupate andiko la kijasusiMbona huu Uzi umekaa kijasusi sana😳🤔?
umepatwa na niniMmebarikiwa kuongeza mwanafamilia mpya hivi karibuni, hongereni!
Mama na mwanafamilia mpya wamepumzishwa sakafu ya juu kabisa ya mahali hapo, wodi mahususi.
Sorry, hayo unayajua.
Usilolijua ni kwamba mama ni mdau wa 'njugu' kwa muda sasa na anafanya 'everything' usijue, ikiwemo kuwaasa wenyeji wa hapo kukuficha hili.🥺
Shtuka.
Wanandoa, kuwa nae ndani haimaanishi umeumaliza mwendo, 'checkings' za pamoja ni muhimu.
wewe ni mwanandoa?🤣🤣 acha watu waugulie mpaka akili ziwakae si wamekata kuchagua mwenza kwa hekima wanachagua kwa mihemko kila mtu atafikiwa🤣Mbona sielewi elewi🤔
tayari huko tumeshampoteza mtuUsikuu huu wote kulikoni?
huu ujumbe nahisi anajaribu kumfikishia mtuMbona sielewi elewi🤔
Kumbe ni mambo ya ndoa? Nilijua ni mambo uya huko juu🫢wewe ni mwanandoa?🤣🤣 acha watu waugulie mpaka akili ziwakae si wamekata kuchagua mwenza kwa hekima wanachagua kwa mihemko kila mtu atafikiwa🤣
Huyo mtu wake yupo humu?huu ujumbe nahisi anajaribu kumfikishia mtu
kila mtu atafikiwa inategemea tu unafikiwaje🤣Kumbe ni mambo ya ndoa? Nilijua ni mambo uya huko juu🫢
Basi poleni wandoa mnapitia mengi sana aisee🙁
Duhh sidhani aisee! Sio kila mtu kipaumbele chake ni ndoa..kila mtu atafikiwa inategemea tu unafikiwaje🤣
ni swala la muda,muda ukifika utashangaa tu unawiwaDuhh sidhani aisee! Sio kila mtu kipaumbele chake ni ndoa..
sio mtu wake anajaribu kumsanua mwanaume juu ya mke wakeHuyo mtu wake yupo humu?
Lol Am too old for this shit! Kuwiwa tena🫢ni swala la muda,muda ukifika utashangaa tu unawiwa
Kwakweli, niliona wengi wametangaza kupata wageni huko sasa sijui itakuwaje🫢sio mtu wake anajaribu kumsanua mwanaume juu ya mke wake
uwepo wake humu mim na wew hatujui
🤣🤣🤣 haishauriki hiyo ni mind tu itakuka control muda ukifikaLol Am too old for this shit! Kuwiwa tena🫢
Hebu nipe yule padri tujaribu naye kwanza😵💫🤣🤣🤣 haishauriki hiyo ni mind tu itakuka control muda ukifika