Lol thats not my wish ha ha ha haaaaaa
^^
hata wakibisha........thts what they wish
^^
^^
Real love!!
^^
mhhh mabwaku!!We hutaki hata nyumba?hata gari?^^
Real love!!
^^
Sisemi hazitokuwa wishes tena nikisema ha ha ha!!!Hahahahaha zako ni zipi shosti lol
.....car and kid
Hao kids utawaokota jalalani? Si useme wife bora ndio utapata kids.
Sasa we umetafuta kijana mwenzio mie unipe kizee loh :help:Hahahahahaha sio kikongwe bhana....mie nlikua namtetea shemegi yangu watu8 umempiga kibuti kisa kikongwe lol....
I didn't know.Hahahahahaha..
Kazi kweli kwelihicho kibabu kinakuzeesha bure, wala haukipendi, utakuwa umefuata hilo gari na nyumba.