nadaiwa SPACIO huku, ww unalia 50k... nakumbuka wakat nko chuo 2010 nlidanganya manze ije kuchukua blackberry kipind hcho n cm pendwa, uyu manz alikua anakataa kutoa papuchi ila siku hyo alitoa fresh, mda wa kuchukua cm nkamwambia kuna vitu nahamisha asubir nxt time akija ataikuta, nadhan mpka saiv anasubiri