Evelyn salt Vs Heaven on Earth, miss chagga Vs miss neddy

Yani wanaomsifia Evelyn natmani niwa- Ufoo Saro.Liwivu linavyonisumbua hapa.

Me kwakweli sijawahi kumwona but daaa NAMPENDA huyu dada mie jamani.
Naogopa hata kum-PM,niruhusu basi mama Evelyn salt

haaaha haaaha haa ukute ni mpoto kumbeee
 

okey jambo umemaliza kibarua
 
wote wakali ila bado naumiza kichwa haya majina
waliwaza nn hata wakajiita hivo, majina matamu, comment tamu, na wao wenyewe nashindwa
kupata picha.

Heaven on Earth, Evelyn salt
haya majina muliwaza nn
 

Ze Heaven on Earth yuko juu bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…