MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Jamani hii Album ya huyu dada inaitwa Rhapsody ni moto wa kuotea mbali. Amewazungumzia wanawake weusi na maisha yao kwa ujumla: Maya Angelou, Nina Simone, Oprah.
Kuna wimbo unaitwa Cleo ambapo anakosoa ambavyo vyombo vya burudani vinawatumia vibaya wanawake weusi kupata pesa kwa kuonyesha maungo yao ya siri nje.
Sijutii kupoteza pesa yangu leo. Kipaji cha huyu mwanadada wakina Nicki na Cardi B watasubiri sana, maana sidhani kama wanaweza kuandika vitu vizito hivi.....
Baadhi ya nyimbo:
Cc: BAK , Daby, ningendako,