EU: Wanajeshi 100,000 wa Ukraine wamekufa katika vita

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Ursula von der Leyen alitoa makadirio hayo, na kuongeza kuwa takriban maisha ya raia 20,000 pia yamepotea.

Rais wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amewasilisha jumla ya idadi ya hasara inayokadiriwa kupatikana huko Ukraine katika mzozo wake na Urusi.

"Zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa hadi sasa," von der Leyen alidai Jumatano, huku akiongeza kuwa takriban maisha ya raia 20,000 pia yamepotea katikati ya mapigano hayo, ambayo yameendelea tangu kuanza kwake mwishoni mwa Februari.

Mkuu wa Tume ya Ulaya hakufichua vyanzo vya habari alivyotoa.

Mwishoni mwa Septemba, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu alisema kwamba hasara ya Ukraine kufikia sasa ilifikia zaidi ya askari 61,000, ambayo ilikuwa mara kumi zaidi ya wale wa Urusi.

Katika hotuba yake, von der Leyen pia alipendekeza kuanzishwa kwa mahakama maalumu inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa kuchunguza na kushtaki kile alichoeleza kuwa "kosa la uchokozi la Urusi."

Wazee wa OFFENSIVE Hii habari mliipotezea yani.

Na EU cahannel wakaifuta bahati nzuri internet imehifadhi.. AIBU
 
Credible source hamna anyway endelea kujifurahisha
 
mwaka wa uchungu huu, mama kafuta baada ya Zele and co kumjia juu
 
In the original version of the statement, von der Leyen said that “more than 20,000 civilians and 100,000 Ukrainian military officers have been killed so far.” This phrase was later deleted. Von der Leyen was presumably referring to U.S. estimates that 100,000 Ukrainian soldiers have been killed or wounded since the beginning of the war.

Source:
Politico
 
Source US Chief of Staff ...

yaani aongelee vifo vya adui.

URSULA DE VON KAONGELEA MSIBA WA NYUMBANI 100K
 
NA EU WAMEGOMA KUIOMBA MSAMAHA UKRAINE:

🇪🇺🇺🇦⚡European Commission official: The EU will not apologize for reporting the death of 100,000 Ukrainian militants

Recall that this figure was reported by the head of the European Commission, Ursula von der Leyen, but then this piece of her speech was deleted from her Twitter account

Ha ha ha haaaaaa
 
Daah ww Jamaa una matatizo YA akili Sio bure yaan umeazisha uzi alafu unaishia Ku comment mwenyewe.

No wonder watu wamekupuuza.
 
Ursula von der Leyen alitoa makadirio hayo, na kuongeza kuwa takriban maisha ya raia 20,000 pia yamepotea.

Rais wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amewasilisha jumla ya idadi ya hasara inayokadiriwa kupatikana huko Ukraine katika mzozo wake na Urusi.

"Zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa hadi sasa," von der Leyen alidai Jumatano, huku akiongeza kuwa takriban maisha ya raia 20,000 pia yamepotea katikati ya mapigano hayo, ambayo yameendelea tangu kuanza kwake mwishoni mwa Februari.

Mkuu wa Tume ya Ulaya hakufichua vyanzo vya habari alivyotoa.

Mwishoni mwa Septemba, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu alisema kwamba hasara ya Ukraine kufikia sasa ilifikia zaidi ya askari 61,000, ambayo ilikuwa mara kumi zaidi ya wale wa Urusi.

Katika hotuba yake, von der Leyen pia alipendekeza kuanzishwa kwa mahakama maalumu inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa kuchunguza na kushtaki kile alichoeleza kuwa "kosa la uchokozi la Urusi."

Wazee wa OFFENSIVE Hii habari mliipotezea yani.

Na EU cahannel wakaifuta bahati nzuri internet imehifadhi.. AIBU
Za chini ya kapeti askari wa Ukrain 138,000 ndiyo walio uliwa mpaka sasa jumlisha Askari 9600 wa kigeni wanao pigana kutoka NATO WAMEKWISHA ULIWA JUMLA NI 147,600 ....Kweli mrusi kapiga kazi hii report serikali za nato walikubaliana kuwa siri nzito isijulikana kwa sababu waliogopa itawapa moyo majeshi ya urusi .....ila ndo hivyo tena mmama karopoka kama anavyo ropokaga mjambiani mpumbavu tuliye naye hapa tz ....sasa imethibitika kuwa mrusi apiki data maana serikali ya urusi ilisema imeua chini ya hiyo idadi kumbe sasa jeshi na serikali ya russia imesha jua kuwa imefanya vizuri kuliko ilivyo dhani
 
Bi Mkubwa alipata kilevi kidogo, ameyamwaga yanayofichwa
Wanawake ni waropokaji kama huyu zuzu tuliye naye ni kuropoka tu...majuzi kaponda kuchomwa kwa vifaranga wakati hata ulaya mifugo inauliwa sana panapo kuwa na tishio la kimeta maelfu ya ng'ombe wanapigwa kiberiti ..tena wanasingizia jpm wakati siyo jpm aliye agiza vifaranga vichomwe moto ni mfumo wa kawaida ndani ya wizara husika.
 
Back
Top Bottom