EU: CHADEMA funding claim a lie

Bora!! Sofia alifikiri akiropoka mambo yanaishia tu kwenye magazeti ya mipasho................Sasa aandae majibu na kingereza chake cha kujigongagonga.
 
Walianzisha chama kikabila wakachoka, chama kidini wakashindwa sasa wameanza tena na agenda ya kufadhiliwa na nchi za nje, hapo ndo watatokota.
 
asante sana mkuu...haihitaji ubishi hata kidogo kutambua nia ya EU kwenye habari hii
Kuna vitu vingine huyu mama anavifanya utafikiri labda yuko anacheza taarabu pale Traventine Hotel anapenda kuropoka sana sasa ajibizane na hao EU asitake kufanya kama alivyojaribu Celina Kombani halafu ikawa vice versa
 
walizoea kujiropokea ropokea, sasa hivi wanapaswa wajiedit kila sentensi! kudadadeki!
 
Kwa nini CCM hawajifunzi? kila ulaghai wanaoleta dhidi ya Chadema una backfire na kama mbumbumbu vile hawaonei aibu jinsi wanavyo adhirika kwa siasa zao za mipasho. Wanachama na wapenzi wa CCM wanawakubalije viongozi kama hawa maana naamini katika CCM wapo baadhi ya watu makini sana
 
Mkuu mbona hii thread ni incomplete?
Eu imesemaje, juu ya nini , nani kasema , si wote wenye acess na Citizen.Uki quote verbatim itasaidia kueleweka.
usichoelewe ni nn? Ama lugha haipandi? Usituchoshe, we ndio walewale waropokaji..
 

ndio maana mimi naamin hao watu "makini" ndani ya CCM wanafanya makusudi kabisa kkuruhusu haya mambo ya tokee ili chama kidhoofike ikiwezekana kife kabisa. Sababu za kufanya hivyo sijui, inawezekana wanajua mafisadi wakichukua hii nchi kwa kumueweka FISADI mwenzao basi wananchi tutateseka zaidi ya sasa.
 
I am blessed to be non-sisi mafisadi.I new they would never make it out of the hook...Chadema cha wakatoliki, mbowe ni Lutheran,Kikristu-Zitto si mkristu. Wanaokea ufadhili wa nje.....wameejielekeza where chadema wont use much force to kill them....Nashangaa wanapoteza muda fuata chadema huku wakijua wanategemea fadhila za dr slaa na mbowe wakiitisha "Kunji" la countrywide.EU watabana misaada halafu wakikoroma jamaa wanasema hawa jamaa si wakweli...kwanza tafiti za CCM zina majibu ya fikra za mafisadi,REDET na EU wana majibu yao,pili wameshatia kichefuchefu....si ukabila auracism ila hakuna sehemu asian(indian+arabs) wanaingia mamabo yakaendelea kuwa km kawa.Tazama RAI limekuwa km gazeti la hovyo(Ze comedi in Media)Rostam nae ni mwandishi.Tazama Dodi alivyokuwa na ambition zakijinga UK, etc AFRICAN LEADER are deep in sleep-bado wanamtetete mume wao Ghadaffi.Wanahofu atarudi halafu wakose par diem au hata awape wapinzania wao hela wang`olewe.hawakumbuki kuwa alikuwa uapande wa amin enzi zile za intifada.
 
Lakini si umeelewa, masuala ya tafsiri ni ya mtu binafsi hata dictionary huwa zinatofautiana kutafsiri matumizi ya neno fulani lakini maana inabaki ile ile.
 
haya sasa yameanza kuwatokea puani,mkome kuropoka ropoka tu bila sababu!alafu na mmekosea njia kweli kwenda EU! haya mama jiandae na defense maana ushaanza kukana maneno yako mwenyewe.kaaazi kwelikweli.Cheap politics zinawaumbua sasa!
 

KWENYE BLUE: MAKAMBA,RIZ 1,SHEIKH YAHYA,PAMOJA NA MUFTI NA WAISLAMU WA SINGIDA, CUF NA WAZANZIBAR, wamekusoma vizuri mkuu sijui watakuja na propaganda ipi tena...

KWENYE RED: SOPHIA SIMBA NA MEMBE waachien CHILIGATI,HIZA,MAKAMBA wafanye kazi zao...
 
Very good! they have to pay for the lie..
 
Kikwete hachelewi kuibuka na kusema "It was a mistake it wont happen again"
 
Jk atawaalika tena mabalozi Ikulu ili awaambie ni bahati mabaya, kama alivyowaeleza lile la Arusha.
 
Jamani CV ya huyu mama imekaaje?Kashaolewa na Kuachika mara ngap?Kashazakishwa na wanaume wa ngapi?kwani anavyoonekana hajatulia hata chembe ni full mpashukuna kama Luteni Makamba aka Ticha......:embarassed2::embarassed2::embarassed2:
 
Membe should advise the President about this incident,We have a grossly imcompetent and decietful Foreign Affairs Minister disgracing all Tanzanians.Frankly I am disgusted with the inane utterances and deceptive actions of these unpatriotic... 'representatives' of Tanzania,These are serious allegetions which can cause a Diplomatic Impasse for God's sake...As For Sofia Simba,Have you ever sat down and assess this woman's performances as Minister even with the past administration. She's always been an underperforming, incompetent Minister. The only thing she is good at is to speak needless grammar. Honestly she should be demoted to the position of Deputy- Permanent Secretary.
 

katibu mkuu msaidizi wa wizara ipi? hao si ndio watendaji wa wizara? ni bora apewe wadhifa pale Ikulu , na amini kuna vitengo vingi tu anaweza akafanyia kazi bila ku bugudhi kazi ya Rais , kwani Mama Salma pale Ikulu haitaji "wasaidizi wa ndani"?
 
katibu mkuu msaidizi wa wizara ipi? hao si ndio watendaji wa wizara? ni bora apewe wadhifa pale Ikulu , na amini kuna vitengo vingi tu anaweza akafanyia kazi bila ku bugudhi kazi ya Rais , kwani Mama Salma pale Ikulu haitaji "wasaidizi wa ndani"?

Ha hahahahh,nimeipenda hiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…