..eti x-ameni-miss....

Unajua playboy akichapa demu anatimua, akifika wa 7 sasa anapata hisia za wa kwanza, anahisi ilikuwa na siagi labda. Uamuzi unao mwenyewe, ushauri tulishakupatia.
 
umeongea la msingi sana mkuu, yawezekana anataka nimpe kitumbo halafu aanze kunikera haswaaa simkubalii

Ni balaa,hakuna mateso kama kupata mtoto na mtu ambae
hutarajii kumuoa na wala hafanani na mke unae tarajia awe na sifa
zipi.Ina tisha sana
 

May be alikoangukia siko so anataka nafasi nyingine, muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…