amemiss kubadilishana vikojoleo huyo.... Haya kamsaidie mwenzio umetoka nae mbali
....ulijuaje aiseeeee...!!!unadhani kamiss nini?
Si ulisonga? Kwa nini akikwambia kakumiss kiroho kinakuruka? Akikwambia anakupenda si ndo utamkimbilia?
Kwanza neno haka hilo kwanini likushughulishe? hujawahi kulisikia au hukulitarajia kwa sasa kutoka kwake?..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa nmeweza kusimama imara na nmemtoa mawazoni japo salaam za kawaida zina exist. kituko kinakuja sasa hivi karibuni kanieleza eti "ameni-miss"..... hebu nisaidieni hapo maana anaulizwa umemiss nini anajiumauma tu....haeleweki...nimueleweje huyu kiumbe anataka kuniumiza tena? au ndo hatua za kuanza kulilia 2nd chance? sielewi...!
Hana lolote huyo, anataka muwe mnapeana game za kirafiki, kwa minajili ya KUJIKUMBUSHIA ZILIPENDWAAA! Wala usikubali atakufuja bureee, hakuhudumii afu anataka mambo burebure. Mimi mwenzio jitu nikiliacha likijifanya kinganganizi dawa moja tu ni KUTANGAZA NJAAA MWANZO MWISHO! Anza na kodi ya nyumba, vocha, nguo Mr Price, less wigi mpaka kiranga kimtoke! SHAMBA LILISHAMSHINDA WAMELILIMA WENZIE YEYE ANATAKA KUJA NA KAPU AVUNE!!!!!! Chinekeeeeeee! I beeeeeg Ohhhhhh!
na we unataka bana!hebu jirudie tu usiulize miswali mingi hapa!..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa nmeweza kusimama imara na nmemtoa mawazoni japo salaam za kawaida zina exist. kituko kinakuja sasa hivi karibuni kanieleza eti "ameni-miss"..... hebu nisaidieni hapo maana anaulizwa umemiss nini anajiumauma tu....haeleweki...nimueleweje huyu kiumbe anataka kuniumiza tena? au ndo hatua za kuanza kulilia 2nd chance? sielewi...!