Nimejaribu kuingilia kule kweny sport imekuwa ngum ndio nikakumbuka swala la utambuz wa melody mbalimbal pia ni tech. Sasa wakuu kuna wimbo flan si wa hapa nchini labda ni wakizulu unapart inayoimbwa hv
uuuuuuh uuuuuh awimba eh awimba eh... Ni sehemu hyo nnayoikumbuka naomba kujulishwa.

anaitwa Asa ni msichana na wimbo unaitwa jailer .eeh swali la nyongeza....??
exactlyMkuu ningumu sana maana nahakika hata wewe huna hakika kama umeandika sahihi maneno ya wimbo huo
Jaribu kujirekodi unaimba kwa kuguna au kupiga mluzi kisha atachi hapa labda mtu akisikia anaweza jua ni wimbo gani kama anaufahamu
anaitwa Asa ni msichana na wimbo unaitwa jailer .eeh swali la nyongeza....??
unamaana gani hii ni ya kwanza na ya mwisho labda umenifananisha mkuuMkuu we ni bingwa wa ID hii ni ya ngapi?
Mkuu nimeutafuta sana hu wimbo bila mafanikio, kila nikigoogle "Tanzania yetu ni nchi yenye furaha" napata link nadownload ngoma ya asili tu.Thanx all great thinkers....naomba kufahamu wimbo huu ni zilipendwa na ni wa miaka ya 1960 hadi 1970 ni baada ya uhuru na unaimba......Tanzania yetu ni nchi ya furaha....naye mwalimu nyerere ndiye aliyeleta uhuru....... tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha.....Unaitwaje na nani aliuimba miaka hiyo....sometimes uko kwenye tangazo la hamasisho la miaka 50 ya uhuru MLIMANI tv please great thinkers
unaitwa blueprintkuna wimbo flan wa jay z anapoimba ni kama anambless mother kwa kumcare tangu utoto na anamblame dady(papa) kuwa hakumcare kuna sehm anasema MOMA LOVES ME POPA LEFT ME na colus yake ni saut ya computer unaitwaje wimbo huu?
Thanx all great thinkers....naomba kufahamu wimbo huu ni zilipendwa na ni wa miaka ya 1960 hadi 1970 ni baada ya uhuru na unaimba......Tanzania yetu ni nchi ya furaha....naye mwalimu nyerere ndiye aliyeleta uhuru....... tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha.....Unaitwaje na nani aliuimba miaka hiyo....sometimes uko kwenye tangazo la hamasisho la miaka 50 ya uhuru MLIMANI tv please great thinkers