Kumekucha.Yaani yanaiba mali za Tanganyika halafu yanataka yawe na haki ya kuitwa majina mazuri na kukosolewa kwa lugha nzuri.
Mwizi ni mwizi tuu hana jinsia anaweza kuwa mwanamke au mwanaume lakini yote ni majizi tuu bila kujali vyeo vyao.
Majizi haya yanatuhumu wanao pinga mkataba kuwa wamehongwa. Lakini wao wakiambiwa wamekula mlungula kwa kusaini mkata ambao hata Mangungo angejua kusoma na kuandika angeukataa yanakasirika hayataki kuambiwa kuwa ni majizi.
Eti kuna vibwengo nimewasikia wanaimba usimseme mama vibaya mama yako kama ni jizi ni jizi tuu hakuna namna ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kama mna bandari zenu huko nyumbani kwenu wahongeni hao matapeli wenzenu lakini hizi za Tanganyika hapana.
Maendeleo hayana vyamaa.
Halafu baadae yanata yaandike vitabu kuwa tulikula mlungula kutoka DIP WORLD matanganyika hayakustuka kama alivyo andika Mkapa kuwa yaliiba pesa benki kuu akaunti ya epa.Wanabaka uchaguzi alafu wanasema tutumie demokrasia
Yaani yanaiba mali za Tanganyika halafu yanataka yawe na haki ya kuitwa majina mazuri na kukosolewa kwa lugha nzuri.[emoji419][emoji375]Yaani yanaiba mali za Tanganyika halafu yanataka yawe na haki ya kuitwa majina mazuri na kukosolewa kwa lugha nzuri.
Mwizi ni mwizi tuu hana jinsia anaweza kuwa mwanamke au mwanaume lakini yote ni majizi tuu bila kujali vyeo vyao.
Majizi haya yanatuhumu wanao pinga mkataba kuwa wamehongwa. Lakini wao wakiambiwa wamekula mlungula kwa kusaini mkataba feki ambao hata Mangungo wa Usagara karibu na kilosa angejua kusoma na kuandika angeukataa yanakasirika hayataki kuambiwa kuwa ni majizi.
Eti kuna vibwengo nimewasikia wanaimba usimseme mama vibaya mama yako kama ni jizi ni jizi tuu hakuna namna ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kama mna bandari zenu huko nyumbani kwenu wahongeni hao matapeli wenzenu lakini hizi za Tanganyika hapana. Maendeleo hayana vyamaa.
Jizi kuu limelala cchattoYaani yanaiba mali za Tanganyika halafu yanataka yawe na haki ya kuitwa majina mazuri na kukosolewa kwa lugha nzuri.