Eti uume wake mdogo?

ndandawamalenja

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
548
Reaction score
658
Kuna mtu ameandika kwa Aunt Bettie (gazeti la mwananchi) anaomba ushauri eti uume wake mdogo afanyeje? Sasa tunajiuliza ameulinganisha na wanani na aliuona vipi? Kuna mtu ana wazo lolote? Sasa huyo aunt Bettie alivyomshauri ndio kituko kabisa. Kamwambia aongee na mama yake asione aibu kwa sababu ndiye aliyemzaa!!!! Ushauri mwingine!!!
 
pyuuuuuuuuuu nadhani huyo anti mwenyewe kaona ni uharo tu hilo swali..
 
Itakuwa kila sehemu akitumbukia ANAELEA!!!!!! Ikabidi aombe ushauri manake ni TRATRA!!!!!!!!!
 
Itakuwa kila sehemu akitumbukia ANAELEA!!!!!! Ikabidi aombe ushauri manake ni TRATRA!!!!!!!!!

Bila shaka huko anakotumbukia huwa anavaa boya ndio maana anaelea,la sivyo angezama kabisa!!!!

lara 1 vijana wa siku hizi wanatumbukia bila kuwa makini,matokeo yake wanaishia kwenye mabwawa yenye kina kirefu na hata yenye tope tupu.Halafu wanajiona hawana ufundi wa kupiga mbizi.
 
Last edited by a moderator:

jiranii naona mekunwa sana na mitumbukio ya hovyohovyo..
 
Last edited by a moderator:
lara 1 we unamshauri nn?

Namshauri ajtahidi kuzama maneo yasiyo hatarishi kama kwa watu wa umri wake, akiona na huko anaelea ajaribu kutafuta bikra, akiona bado anaelea awaone wamasai!
 
Ndio ushakuwa mdogo sasa sisi tumsaidie vipi?...halafu habari gazetini Mwananchi ushauri JF duh!!
 
Kheee! Asa mama ake amfanyaje.
 
Namshauri ajtahidi kuzama maneo yasiyo hatarishi kama kwa watu wa umri wake, akiona na huko anaelea ajaribu kutafuta bikra, akiona bado anaelea awaone wamasai!
hapo kwa wamasai nakuunga mkono aje hapa manzese bakhresa atawakuta
 
huyo atakuwa ametahiriwa hiyo soseji yake wakati kichanga hayafaham magovi sasa wakati yuko na wenzanke labda wakati wanakojoa akaona magovi ya wenzake ambao ni uncircumcised,si unajua magovi ni marefu kwenda mbele hata Lara1 analifaham hilo,so huyo kijana akijskia vibaya kuona wenzanke wana dushelele ndefu(foreskin) yake fupi,huyo aliyemshauri aende akamuulize mama hakukosea:yo:
 
Ndo madhara ya kumega honey moon haya
 
Sikia banah!! normal size ya penis ni 6inches!! but even yake ni fupi anaweza kutumia sex style zenye kumfikisha kilele!
 
[QUOTE...halafu habari gazetini Mwananchi ushauri JF duh!![/QUOTE]

Si unajua tatizo linatuhusu wengi? Unaweza kuta na mimi nimo, oh!!!
 
Namshauri ajtahidi kuzama maneo yasiyo hatarishi kama kwa watu wa umri wake, akiona na huko anaelea ajaribu kutafuta bikra, akiona bado anaelea awaone wamasai!

wamasai!!! Mmetuzimia sio?wamasai wana ubora sio! Hahahahahahaha......nichangie tu mada..namshauri avumlie..vipaji hafinani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…