Eti Rage katumwa na wananchi wa Tabora!

Eti Rage katumwa na wananchi wa Tabora!

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Katika kufuatilia sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi kupitia TBC nimeshangaa kumsikia mheshimiwa Rage akituma ujumbe akisema katumwa na wananchi wa mkoa wa Tabora, huu ni uongo mtupu.
 
Katumwa nini? Kwanza kiongoz gani mwenye uchu wa madaraka, siasa yeye mpira yeye, ata huo mpira umemshnda kazi kuaribu 2 maisha ya wana tabora! Tangu lini mkimbizi akawa na uchungu na wanachi halali wa nchi aliyopo?
 

Attachments

  • 1390025711022.jpg
    1390025711022.jpg
    54.6 KB · Views: 85
Back
Top Bottom