B BWANA MISOSI Member Joined Feb 11, 2020 Posts 39 Reaction score 25 Dec 1, 2020 #1 Eti kuna mjomba wangu amemuoa shangazi wake bwana wangu. Je Mimi siwezi tena kuelewa na bwana wangu kwa sababu ndio itakuwa Kuna undugu.? Au tukiamua tunaoana tu?
Eti kuna mjomba wangu amemuoa shangazi wake bwana wangu. Je Mimi siwezi tena kuelewa na bwana wangu kwa sababu ndio itakuwa Kuna undugu.? Au tukiamua tunaoana tu?
Pep JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,338 Reaction score 5,490 Dec 1, 2020 #2 Mkiamua mnaoana tu, nasema uongo ndugu yangu Bwana Misosi?
M mwakiri JF-Expert Member Joined Jul 31, 2018 Posts 1,067 Reaction score 1,104 Dec 1, 2020 #3 bwana misosi utaolewa tu ucjali
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,237 Reaction score 13,970 Dec 1, 2020 #4 Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu,hapo wanaweza kuona tu hakuna undugu hapo Pep said: Mkiamua mnaoana tu, nasema uongo ndugu yangu Bwana Misosi? Click to expand...
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu,hapo wanaweza kuona tu hakuna undugu hapo Pep said: Mkiamua mnaoana tu, nasema uongo ndugu yangu Bwana Misosi? Click to expand...
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,323 Reaction score 56,062 Dec 1, 2020 #5 Shangazi mdogo wake na baba mzaa bibi mzaa mjomba mnaoana
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,346 Reaction score 80,218 Dec 1, 2020 #6 Nyie endeleeni kukutanisha vikojoleo tu