yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
Wapendwa watanzania wenzangu......
naamni kwa sisi wachambuzi wa masuala ya KISIASA tumekata tamaaa na jinsi mchakato wa katiba unavyo endeshwa....amin nakwambia katika siku 40 na kitu zilizo baki wajumbe wataanza kurudi kwao mapemaaa..... kuanzia wiki ijayo kuendelea na majukumu yao ya kila siku.... huku wakiwa wamebeba ujumbe wao usemao....BORA KUCHEZA SEGERE KULIKO KUDHARIRISHANA...
wengi wao wakiongozwa na mch. MTIKILA... washaona huku ni kupoteza muda na kufuja rasilimali za taifa pasipo sababu
yeyote...... chama cha mapinduzi mnatufanya sisi kama wendawazimu.....et nchi kwanza...huu ni unafiki mkubwa msivyo na aibu rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama chenu amewavimbisha vichwa kwa hoja zake nisizo zielewa...
sisi kama watanzania tupo tayari kuipinga katiba mtakayotuletea endapo haitakuwa na masilah kwa taifa take note....