Jambo la kwanza inaonyesha kwa sasa wewe humpendi tena huyo binti. Mi nakushauri ukae upime upendo wako kwake, kama upendo umeisha ghafla mwambie ukweli na uachane nae.
2. Kama bado unampenda, kupenda pesa na kwenda disco siyo tatizo la kimsingi. Anapendaje pesa? Je, anaomba pesa kwa wanaume wengine? au anakuomba wewe? kama anakuomba wewe na inapilitiza basi kaa chini umulize pesa anazoomba anafanyia nini? hilo ni jambo dogo tu, hata hivyo kila mtu anapenda pesa coz ndiyo maisha yenyewe. Kuhusu kwenda disco ni hobby tuu hiyo na ina rika lake, kama haendi disco kwa mabaya (kutafuta wanaume) hapo hakuna tatizo. Wangapi wanaenda disco bana au unamtafutia sababu za kumpiga chini?
3. Wewe ulimpenda wakati ukiwa mdogo, ila baada ya kupotezana na kuonana baadae ulimtamani tu. Sasa umekuta mambo uliyokua unatarajia hayapo unataka kukimbia. Mwambie ukweli na muachane kwa amani kama mlivyokubaliana kupendana.
Kuacha mtu sio solution,Cjawah kulalamika juu yake zaid anapofanya kosa hua nachunguza then nakaa nae chini namueleza, ila mm inapotokea katuma meseji cjamjibu, kabip cjapga na kaomba salio cjam2mia n kosa na itakua kesi cku nzma.
nmepita 2 hku leo ila naomba ushauri kwa wana Jf. Kuna msichna nlitokea kumpenda toka mara ya kwanza kupata kukutana nae {2005}, ila 2kaja kupotezana nae had nmekuja kuonana nae tena hivi karbuni {2009}, 2kaanza mahusiano nae na katka mazungumzo ye2 ya mwanzo akaomba nisije kumuumiza kwan alishaumizwa sana awali nami ckuwa na hiyana na hlo. Chakushangaza ss n kwamba 2kiendlea na mahusiano kuna vtabia ckuwa napendezwa navyo na nlikua nkmwambia lakn naona bado haelewi mwsho wa cku nkampga stop kwa mda kuja kwangu 7bu ya hvyo vitabia na nkamwambia cwez kuoa mtu wa tabia ile, akanijibu kwmb hta yeye hajafkiria kuolewa na mm kwa ss lakn baada ya mda kdogo kupita akaanza kuomba msamaha eti turudiane nae na ananipenda sana na ameshakuja kwangu mara kadhaa akitaka nim-doo ila nkamkatalia lakn bdo simu na meseji haziachi kumiminika kunitaka tena. Nisaidieni nfanyeje au niamuaje mie kuhusu huyu mtu.
Kumbe tatizo lako ni mkwanja mfupi? Pole sana!!Anapenda sana hela na matumizi mabaya ya fedha, anapenda sana kwenda disco, anapenda kulaumu vitu visivyo vya msingi na vngnevyo
Anapenda sana hela na matumizi mabaya ya fedha, anapenda sana kwenda disco, anapenda kulaumu vitu visivyo vya msingi na vngnevyo
nakupenda jf kwa moyo wangu wote!!!jf rahaaa!!ana vitabia gan?anakojoa kitandani?anasachi suruali zako ukiwa umelala?
Bora ingekua natoa kwa kujua matumiz halali ila anadanganya 7bu na ninapompa hutumia vngnevyo kisha huomba upya, nlishamkanya ila bdo haelekei kuelewa