ukiona wote wametaka na ukakataa basi ujue they never knew your weakness!Inategemea na mtu bwana me hata unikune mpaka kwenye mapafu kama its over haiwezi jirudia kamwe nimesha move on wanaokubali ni wajinga wahajui wanataka nini
Usinidanganye hamna mtoto hapa! eti mnaweza kuwa na urafiki wa kawaida! huyo ambaye ni ex wako na unawasiliana naye ni wazi tu hajaona chochote alichosahau kufanya kwako lakini akikutamani tena anakung'oa vizuri tena kiulainiiiiiiiiiiiiiiii tena unampelekea mwenyewe!
Tatizo mnaweka ngono kuwa ndio centre ya kila mahusiano... kama unaazisha mahusiano just kwa sababu ya kupata papuchi basi utakuwa huna akili na kama ni mimi bora niende Kona bar, au buguruni nikaokote kule. Uhusiano wa kimapenzi au ndoa unahusisha mchangamano wa mambo mengi sana na kufanya mapenzi ni hitimisho la kupendana kwenu.
Kuna watu walianzia kwenye urafiki, wakafanya mambo mengi ya kielimu, kiuchumi na hata kijamii wakiwa ni wapenzi sasa unadhani kushindwa kuoana ndio kutenganishe huo ukaribu na mawasiliano yao. kama unajiamini kwa ulie nae huna sababu ya kuhofia his/her past kwa kuwa ameamua kuwa na wewe wakati ambao huyo aliemuacha pia alikuwepo. Tatizo sio kupata kitu kilicho bora ila ni kuretain hicho ulichokipata na kikifanya kuwa chako, ukiweza hilo basi mchezo umeisha.
Kumbeee, sikuwhi kujua i seee...labda nikuulize swali sosoliso, hizo connections ni zaajae hasa?
Ha ha ha KOKUTONA.. kwa mfano kuna binti mmoja ambae nilifanya nae matusi zamani.. baadae tukatengana ila ushkaji ukaendelea.. later alikuja kunisaidia kupata tenda kwenye kampuni ambayo yeye anaifanyia kazi..
Wangeipanua kidogo basi hakuna waziri wa miundombinuNjia ya kwenda mbinguni ni nyembamba na wachache wataiona maana wengi wana taka uhuru wa kujiachia.
kwa sababu najua
aliyemtoa bikra hajamuacha bali kasafiri tu au yuko mbali akirudi au
wakikutana town anapiga tu.