Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,622
- 164,679
ni kweli salary slip unayasema haya, nyie na akina simiyu yetu, lizaboni, jingalao ndio mlikuwa namba 1 kumsifia, imekuwaje tena, duuKila unachofanya wewe unataka kiwe live na wakati huo huo unabana wenzako ili wewe peke yako ndio uonekana kwa wananchi!
Wenzako kuwa live ni gharama na wanasababisha watu wasifanye kazi ila isipokuwa wewe tu!
Ukipata nafasi ya kuongea live unaponda na kuwapiga vijembe wapinzani wako na hutaki wakujibu na wakikujibu wengine wanaishia kukamatwa!
Unasema hivi halafu unatenda kinyume chake halafu unatuambia wewe ni msema ukweli!
Sasa najiuliza kwa tabio hizo wewe kweli si mwanasiasa tena uliokosa uvumilivu?
Una hakika?ni kweli salary slip unayasema haya, nyie na akina simiyu yetu, lizaboni, jingalao ndio mlikuwa namba 1 kumsifia, imekuwaje tena, duu
Kila unachofanya wewe unataka kiwe live na wakati huo huo unabana wenzako ili wewe peke yako ndio uonekana kwa wananchi!