jenga banda la kuku fuga kuku,wa nyama na wa mayai ,
unatakiwa ufuate ushauri wa wafugaji na watu wanaofuga,u can never go wrong,
ukiwa na kuku 500 tegemea around tray 10 za mayai,and for about 5,000 ni sawa na 50,000 per Day siyo mbaya ukitoa gharma za uendeshaji
unakuwa na kitu kama 35 per Day,so ndani ya siku mia utakuwa na 3,500,000 baada ya miezi 6 ya uzalishaji wa mayai utakuwa umerudish pesa yako na faida kiasi then unakula faida tu.