Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,697
Habari za jumapili GT nimeizoea sana juice ya lozea/lozela( mtanisahihisha jina kama nimekosea) ili kuepuka industrial juices na soda,lakin last week kuna jamaa alinambia zina madhara, nikamuuliza what and how lakn alishndwa kuniambia ye pia aliambiwa tu.Nimeleta mezan hapa jf kama kuna mtu anajua madhara ya hii juice aniweke wazi nichukue tahadhari. Mbarikiwe sana