Eti anadai hawezi kwa sababu mimi ni mama wa mwanae!

Mambo yasiwe mengi,

Shemejienu leo kanitolea mpya.

Tangu nimepata mtoto kama mwaka mmoja uliopita, maisha yetu ya chumbani yalibadilika. Na mwanzoni haikuwa ishu kwangu wala sikunotice sababu ya kuzama kwenye malezi. Sio kwamba hatuli tamtam, la hasha ila tu hakuna mashamsham(nimeenda kwa vina)

Mimi once in a while napenda mambo flani makali makali yaani pull my hair, choke me, nikunje, piga vibao vile vya kweli sio vya mahaba. Napenda na maneno ya ovyoovyo, niite B word, just be nastyy.

Sasa hivi vitu vilistop na hata nilipojaribu kuanzisha mara kadhaa sio kiviileee mwenzangu kama hataki.

Leo nikaamua tu niulize; eti ananiambia “wewe ni mama wa mwanangu, siwezi tu kufanya hivyo na wewe”.

Akamalizia “I just cant see you that way, nakuona kama malaika umenifanyia jambo kubwa”

Kweli jamani mnaona kuna uhusiano hapo? Ngoja nilale nayo kwanza nitafakari.
Nikutafute kwa namba ipi?
 
Ulivo popoma utatafuta mchepuko.
ĸaмa мwanυмe нaтaĸι ĸυĸυrιdнιѕнa υnaтegeмea nn, wanaυмe waвιnaғѕι ѕana yaan wao waĸιcнepυĸa ѕawa тυυ, ona ѕaѕa υyυ нaтaĸι υтaм ĸιѕa anaĸojoa нaтa вιla мaandalιz.
мхeew.
 
Mambo yasiwe mengi,

Shemejienu leo kanitolea mpya.

Tangu nimepata mtoto kama mwaka mmoja uliopita, maisha yetu ya chumbani yalibadilika. Na mwanzoni haikuwa ishu kwangu wala sikunotice sababu ya kuzama kwenye malezi. Sio kwamba hatuli tamtam, la hasha ila tu hakuna mashamsham(nimeenda kwa vina)

Mimi once in a while napenda mambo flani makali makali yaani pull my hair, choke me, nikunje, piga vibao vile vya kweli sio vya mahaba. Napenda na maneno ya ovyoovyo, niite B word, just be nastyy.

Sasa hivi vitu vilistop na hata nilipojaribu kuanzisha mara kadhaa sio kiviileee mwenzangu kama hataki.

Leo nikaamua tu niulize; eti ananiambia “wewe ni mama wa mwanangu, siwezi tu kufanya hivyo na wewe”.

Akamalizia “I just cant see you that way, nakuona kama malaika umenifanyia jambo kubwa”

Kweli jamani mnaona kuna uhusiano hapo? Ngoja nilale nayo kwanza nitafakari.

Nacheka kama mazuri vileee... Inshort mzuka wa tendo Kuna wakati hupotea... Then huwezi kurudisha siku nyuma... Move on ili mradi hakucheat.
 
kilichowafanya mfungue uzi msome ni sababu hizo hizo na mimi zimenifanya niusome uzi na mimi mtanzania pia sikatai asili yangu😅
 
Back
Top Bottom