Ethiopia wazidi kuchanja mbuga

Sisi na Bombardier.. Bombardier na sisi
 
Cc:Nshonzi
 
Hizo si dreamliner 787 zilizotolewa na AWAS wakazipa jina la Colonel Robinson kwa ajili ya humanitarian delivery ila wanakula vichwa kama kawa au unataka kutuaminisha nini kwamba bombadier zetu ni uhuni tu na Ethiopia wanachanja mbuga ,tutafika tu huko hata wao hizo ndege zote hawajazinunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…