sisi, tumeambiwa na wakubwa wa nchi, eti manufaa ya gesi tutayaona baada ya 2020, na ikifika 2020 tutaambiwa tusubiri 2030. Maana nakumbuka sana mwanzo wa Mradi wa umeme wa Songosongo, tuliambiwa kuwa umeme utashuka bei, matokeo yake sote tumeyaona labda kipofu wa akili hajaona kilichotokea na kinachoendelea